Jibu la @rhoda8092 (mtaalamu aliyethibitishwa)
Hapana mama! ❤️ Kuwa mjamzito haimaanishi uache skincare routine yako. Kama Resident Midwife
, ningependa ujue kwamba si kila skincare product ni hatari wakati wa ujauzito. Muhimu ni kuangalia ingredients. ✅ Unaweza kutumia: • Hyaluronic Acid • Vitamin C • Niacinamide • Moisturizer • Sunscreen SPF 30+ (hasa Zinc Oxide au Titanium Dioxide) 🚫 Epuka: • Retinol na Retinoids • Tretinoin • Isotretinoin • Hydroquinone • Tazarotene Kuhusu Salicylic Acid na Glycolic Acid, matumizi yake yanahitaji kuzingatia concentration na aina ya product. Ushauri wangu: Usiachane na kujitunza mama! Chagua products zinazofaa kwa ujauzito na hakikisha unakagua ingredients kabla ya kuzitumia. Pregnancy glow is allowed, mama! 😍❤️