Jibu la @rhoda8092 (mtaalamu aliyethibitishwa)
Hello dear, Jitahidi kula milo midogo midogo mara nyingi, kuliko kula mlo mkubwa mara moja
, pia kunywa dawa za folic baada ya chakula cha mwisho cha siku.

asante sana mkunga