Jibu la @rhoda8092 (mtaalamu aliyethibitishwa)
Hapana, usiache Fefo kwa uamuzi wako mwenyewe. Folic acid peke yake haizuii upungufu wa damu.
Jaribu kumeza Fefo usiku kabla ya kulala au mara baada ya kula. Kama bado unatapika, waambie kliniki wakubadilishie aina nyingine ya dawa ya damu.