Nimepewa vidonge Calcium vya kutumia wakati nasubiri kujaribu kupata mtoto. Pamoja na folic acid. He calcium inaweza kuwa na madhara gani?

Majibu (2)

Jibu la @rhoda8092 (mtaalamu aliyethibitishwa)

Madhara ya kawaida ni kufunga choo, tumbo kujaa gesi, na kichefuchefu kidogo. Kwa dozi uliyoandikiwa ni salama.

Ukizidisha dozi kwa muda mrefu inaweza kusababisha mawe kwenye figo, kwa hiyo fuata dozi uliyopewa. Unaweza kuendelea nayo pamoja na folic acid.

Jibu la @mama3823

Nilisikia dokta mmoja akisema tujitahidi sana kunywa maji mengi ukiwa kwenye dozi yoyote ya madini chuma au calcium ili kusaidia figo kutoa

excess calcium na kupunguza uwezekano wa matatizo kama gout au mawe kwenye figo..

Jiunge na Malkia Circle ujibu au uulize swali lako