Je ni upande gani sahihi wa kulalia kwa kipindi cha ujauzito

Je ni upande gani sahihi wa kulalia kwa kipindi cha ujauzito

Majibu (1)

Jibu la @rhoda8092 (mtaalamu aliyethibitishwa)

Lala kwa ubavu. Ubavu wa kushoto ndio unaoshauriwa mara nyingi kliniki, lakini utafiti unaonyesha hata wa kulia ni salama.

Kuanzia wiki ya 28, epuka kuanza usingizi ukiwa chali. Ukiamka usiku ukiwa chali, usiwe na wasiwasi, geuka tu ulale kwa ubavu.

Jiunge na Malkia Circle ujibu au uulize swali lako