Belly Mask
Bei: TZS 25000 kwa Piece
Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.
Belly mask kazi yake kuu ni kusaidia ngozi ya tumbo kurudi kwenye hali yake baada ya kujifungua. Inasaidia: -kuongeza unyevu (hydration) wa ngozi -kuboresha elasticity ili ngozi ijikaze taratibu -kupunguza muonekano wa stretch marks -kutuliza ngozi iliyochoka au iliyolegea