BFF CS Belt
Bei: TZS 50000 kwa Piece
Malkia BFF Belt inakupa support imara kwenye tumbo na mgongo, hivyo inapunguza maumivu na pressure unapokuwa umejifungua. Inasaidia kubalance uzito wa tumbo, kuboresha posture, na kufanya kutembea au kufanya shughuli za kila siku kuwa rahisi zaidi.