Breast Pump

Bei: TZS 150000 kwa Piece

Malkia Wearable Breast Pump Inakupa uhuru wa kukamua maziwa bila kusimamisha maisha yako—hands-free, discreet, na unaweza kuendelea na kazi zako ukiwa una-pump. Inaongeza ufanisi wa kutoa maziwa, inapunguza stress ya kukaa sehemu moja, na inakusaidia kuendelea kunyonyesha bila kuchoka au kupoteza muda.

Nunua kwenye Duka la Malkia