Bump Leggings
Bei: TZS 50000 kwa Piece
Maternity leggings zimeundwa kukupa comfort na support bila kubana tumbo wakati wote wa ujauzito. -Hazibani tumbo – zinanyooka kulingana na ukuaji wa mimba -Zinatoa support ya tumbo na mgongo – hupunguza maumivu na uzito -Zina comfortable sana kwa matumizi ya kila siku – nyumbani au kutoka -Zinapumua (breathable) – zinazuia joto na kuwasha ngozi -Zinadumu hatua zote za ujauzito – kutoka early pregnancy hadi mwisho