C-Section Heaven Kit

Bei: TZS 239000 kwa Piece

Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.

C section heaven kit Inakupa kila kitu unachohitaji ili: ✔️ Kupunguza maumivu na kushika tumbo vizuri (belly binder) ✔️ Kujilinda dhidi ya kuvuja na discomfort (maternity pads) ✔️ Kulinda mshono usipate maji na infection (shower guard) ✔️ Kuzuia kovu kuwa ngumu na kuvuta ngozi (massage roller) ✔️ Kufanya kovu lififie na kuwa laini mapema (scar sheet) Hii sio tu set… ni mfumo wa kuzuia matatizo kabla hayajatokea.

Nunua kwenye Duka la Malkia