C Section Massage Roller

Bei: TZS 30000 kwa Piece

C-Section Massage Roller Husaidia kulainisha kovu, kupunguza ukakamavu na maumivu ya ndani, huku ikirudisha ngozi yako kuwa flexible na ya kawaida haraka. Sio tu massage… ni njia ya kuzuia scar kubaki ngumu, kuvuta ngozi, na kukusumbua kwa muda mrefu.

Nunua kwenye Duka la Malkia