Canvas Maternity Bag
Bei: TZS 65000 kwa Piece
Canvas clinical bag inakupa nafasi kubwa na organization nzuri ya vitu vya mtoto—diapers, nguo, bottles zote zinakaa sehemu zao bila fujo. Ni imara, rahisi kubeba, na inafanya kusafiri na mtoto kuwa simple na stress-free kila siku.