Colostrum Collector

Bei: TZS 20000 kwa Piece

Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.

Colostrum collector inakusaidia kukusanya na kuhifadhi maziwa ya mwanzo (colostrum) bila kupotea, hivyo mtoto anapata kila drop yenye nutrients muhimu. Ni salama, rahisi kutumia, na inakupa peace of mind hasa siku za mwanzo baada ya kujifungua.

Nunua kwenye Duka la Malkia