Cooler Bag
Bei: TZS 50000 kwa Piece
Mama, ukiwa kazini au safarini, maziwa yako yako salama. Hutunza Ubora wa Maziwa: Inalinda maziwa ya mtoto yasiharibike kutokana na hali ya hewa ya nje, ili yaendelee kuwa salama na yenye virutubisho vyake. Urahisi wa Kusafiri Nayo: Ni nyepesi na thabiti, inayokupa urahisi wa kubeba maziwa ya mtoto ukiwa kazini, safarini, au kwenye shughuli za kila siku.