Cover Case

Bei: TZS 30000 kwa Piece

Cover case ya pillow inalinda pillow yako isiingie uchafu, jasho na vumbi, hivyo inabaki safi muda mrefu. Inatoa comfort laini kwa ngozi yako, especially kwa mama mjamzito au anayenyonyesha, bila kuwasha au kusababisha discomfort. Pia ni rahisi kufua na kubadilisha, hivyo unadumisha hygiene kila siku bila stress.

Nunua kwenye Duka la Malkia