CS Scar Patch
Bei: TZS 60000 kwa Piece
Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.
Scar sheet ya Malkia inasaidia kupunguza muonekano wa kovu kwa kuyafanya yawe flat, soft na less visible. Inahydrate ngozi na kusaidia healing ya taratibu bila irritation, huku ikikupa confidence na comfort kwenye ngozi yako.