CS Shower Guard (Maxi)
Bei: TZS 75000 kwa Piece
Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.
Shower Guard Waterproof ya Malkia inalinda jeraha lako wakati wa kuoga, hivyo unapona haraka bila hatari ya infection. Inakupa uhuru wa kuoga bila stress, ina stick vizuri bila kuumiza ngozi, na ni rahisi kutumia hata kwa mama mpya. Clean, safe, na peace of mind kila siku.