CS Shower Guard (Mini)
Bei: TZS 50000 kwa Piece
Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.
Inalinda jeraha la C-section lisilowane wakati wa kuoga, hivyo kupunguza risk ya maambukizi na irritation. Inabanduka vizuri bila kuvuta sehemu ya mshono, ikikupa ulinzi wa uhakika na peace of mind wakati wa recovery.