Cuddle Bra

Bei: TZS 30000 kwa Piece

Cuddle nursing bra inakupa support ya uhakika bila kubana, huku ikiwa soft na comfortable kwa siku nzima. Inarahisisha kunyonyesha kwa urahisi (easy access), inapunguza maumivu ya matiti, na inakaa vizuri hata mwili unapobadilika baada ya kujifungua.

Nunua kwenye Duka la Malkia