Disposable Breast Pad (40 Pcs)

Bei: TZS 20000 kwa Pack

Disposable breast pads zinazuia maziwa kuvuja na kulinda nguo zako kubaki mkavu siku nzima. Ni soft, absorb haraka, na zinakupa comfort na confidence ukiwa nyumbani au nje bila stress.

Nunua kwenye Duka la Malkia