Disposable Cold Pads

Bei: TZS 90000 kwa Pack

Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.

Postpartum disposable cold packs zinakupa relief ya haraka bila stress ya ku-freeze kitu chochote. Zinapunguza maumivu, uvimbe na discomfort baada ya kujifungua, huku zikikupa hali ya baridi inayotuliza eneo la chini. Ni hygienic, ready to use popote ulipo, na unazitupa baada ya matumizi, hakuna usumbufu wa kusafisha. Perfect kwa mama anayetaka comfort ya haraka na urahisi kwenye recovery.

Nunua kwenye Duka la Malkia