Disposable Underwear

Bei: TZS 40000 kwa Pack

Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.

Ni underwear ya kuvaa na kutupa ambayo inakupa comfort bila kubana, especially baada ya kujifungua. Inakaa vizuri kwenye mwili, inashikilia maternity pad vizuri bila kusogea, na ni hygienic sana kwa sababu unavaa unatumia unatupa. Hakuna stress ya kufua wala kubadilisha kila mara—ni easy, safe, na inalinda mama kipindi cha recovery.

Nunua kwenye Duka la Malkia