Fine Malkia Bra

Bei: TZS 20000 kwa Piece

Nursing bra ni comfort ya kweli kwa mama anayenyonyesha. Ina design ya kufungua kwa urahisi, hivyo unaweza kunyonyesha mtoto anytime bila stress. Inatoa support nzuri bila kubana matiti, inapunguza maumivu na pressure. Material yake ni soft na breathable, hivyo inakaa vizuri mchana kutwa bila kuwasha au kukukera. Inakufanya ujisikie free, confident, na ready kumhudumia baby wako wakati wowote.

Nunua kwenye Duka la Malkia