Labor Gown

Bei: TZS 40000 kwa Piece

Labor gown ya Malkia imeundwa kumpa mama comfort na freedom kabisa wakati wa kujifungua. Inarahisisha movement wakati wa labor, ni soft kwenye ngozi na haibani tumbo. Design yake inafanya iwe easy kwa doctors na wauguzi kufanya check-ups bila usumbufu, huku mama akibaki covered na confident. Pia ni rahisi kuvaa na kuvua, hygienic, na inampa mama peace of mind muda wote wa kujifungua.

Nunua kwenye Duka la Malkia