Lactation Aid System

Bei: TZS 30000 kwa Piece

Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.

very nice product, its well seen and works faster Lactation Supplemental Aid ni kifaa kinachomsaidia mama kunyonyesha mtoto hata kama maziwa hayatoshi. Inasaidia kuongeza milk supply naturally kwa sababu mtoto anaendelea kunyonya direct kwenye titi huku akipata maziwa ya ziada. Inabuild bonding ya mama na mtoto, inapunguza stress ya “mtoto hashibi”, na inasaidia mtoto kupata nutrition ya kutosha bila kutumia chupa.

Nunua kwenye Duka la Malkia