Malkia Maternity Pants
Bei: TZS 25000 kwa Pack
Malkia maternity pants Designed for heavy postpartum bleeding, zinakupa full protection bila leaks, hata flow ikiwa kubwa. Zina absorb haraka na kushikilia damu na fluids vizuri, huku zikiwa soft na breathable kwa comfort ya muda mrefu. Perfect kwa days za mwanzo baada ya kujifungua ambapo kawaida pads hazitoshi.