Mama Pack Maternity Bag
Bei: TZS 100000 kwa Piece
Mama Pack Bag ni rafiki yako wa mwisho kabla ya kujifungua. Inakupa nafasi kubwa na mpangilio smart wa kubeba kila kitu muhimu cha hospitali bila stress. Inalinda vitu vyako visichanganyike, ina compartments za diapers, nguo za baby, na vitu vyako binafsi. Rahisi kubeba, durable, na inaonekana neat kila mahali unaenda. Kwa kifupi, inakusaidia kuwa organized na ready muda wowote labour ikianza.