Maternity Pads

Bei: TZS 20000 kwa Pack

Malkia Maternity pad Inakupa ulinzi wa uhakika kwenye heavy postpartum bleeding bila leaks, huku ikiwa soft na gentle kwenye mwili wako unaopona. Inakaa vizuri muda mrefu, inaruhusu ngozi kupumua, na inakupa comfort na confidence siku zako za mwanzo baada ya kujifungua.

Nunua kwenye Duka la Malkia