Mesh Disposable Underwear

Bei: TZS 30000 kwa Pack

Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.

Mesh underwear ya C-section moms ni light, stretchy na breathable, haibani wala kugusa sana sehemu ya mshono. Inakaa juu ya jeraha bila kulisumbua, hivyo inapunguza maumivu na irritation. Pia ni rahisi kuvaa na kutupa, inahakikisha usafi (hygienic) kipindi ambacho mwili bado unapona. Perfect kwa comfort, protection na peace of mind baada ya kujifungua.

Nunua kwenye Duka la Malkia