Milk Storage Bags

Bei: TZS 20000 kwa Pack

Temperature sensing milk bags zinakuonyesha kwa urahisi kama maziwa yako yako kwenye joto sahihi kwa mtoto—zinaondoa guesswork na kupunguza risk ya kumpa maziwa ya moto sana au baridi sana. Zinasaidia kulinda nutrients za maziwa huku zikikupa confidence kila unapomlisha mtoto.

Nunua kwenye Duka la Malkia