Milk Warmer & Sterilizer
Bei: TZS 130000 kwa Piece
Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.
Milk Warmer & Sterilizer – rahisi, salama, na lazima kwa mama wa kisasa 🤱 Ina-warm maziwa kwa haraka bila kupoteza nutrients muhimu za mtoto. Inasaidia kuhakikisha temperature iko perfect, siyo moto sana wala baridi. Pia ina-sterilize chupa na vifaa vya mtoto, kuua bacteria hatari zinazosababisha magonjwa. Hakuna stress ya kuchemsha maji kila mara… una-save muda, unaongeza usafi, na unampa baby wako ulinzi zaidi kila siku.