Nipple Corrector

Bei: TZS 20000 kwa Piece

Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.

Nipple corrector inasaidia kurekebisha flat au inverted nipples taratibu, ili mtoto aweze kushika vizuri wakati wa kunyonyesha. Inarahisisha latching, inapunguza maumivu, na inakuongezea confidence mama wakati wa breastfeeding. Simple kutumia, hygienic, na perfect kwa maandalizi kabla au baada ya kujifungua.

Nunua kwenye Duka la Malkia