Nipple Shield

Bei: TZS 20000 kwa Piece

Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.

Nipple shield ni life saver kwa mama anayepitia maumivu ya kunyonyesha. Inalinda chuchu zisiumie zaidi huku ikimsaidia mtoto kushika vizuri wakati wa kunyonyesha. Inafanya breastfeeding iwe comfortable tena, hata kama una cracked nipples au baby anashindwa latch vizuri. Simple kutumia, hygienic, na inakupa nafasi ya kuendelea kunyonyesha bila stress.

Nunua kwenye Duka la Malkia