NR Maternity Underwear
Bei: TZS 15000 kwa Piece
Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.
Pregnancy underwear zimetengenezwa kumpa mama mjamzito comfort ya ukweli kila siku. Hazibani tumbo, zina-stretch vizuri kufollow body yako kadri mimba inavyokua, na zinapunguza pressure kwenye lower abdomen. Material yake ni soft na breathable, hivyo unakaa fresh muda wote bila irritation. Perfect kwa kuvaa muda mrefu bila kusumbua.