Office Leggings
Bei: TZS 35000 kwa Piece
Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.
Office pregnancy leggings za Malkia zimetengenezwa kukupa comfort siku nzima bila kubana tumbo. Stretch yake ina-adapt kadri mimba inavyokua, huku ikitoa support ya chini ya tumbo kupunguza maumivu ya mgongo. Fabric yake ni soft, breathable na professional look, hivyo unakaa smart kazini bila sacrifice comfort. Perfect kwa mama anayetaka ku-move easy, ku-focus kazini, na bado ajisikie free.