Perineal Healing Foam
Bei: TZS 30000 kwa Piece
Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.
Perineal Healing Foam ni solution ya haraka kwa mama aliyepitia uchungu wa kujifungua. Inatuliza maumivu, inapunguza swelling, na kusaidia ngozi kupona faster bila kuwasha au kukausha. Ni gentle, easy kutumia, na inakupa relief ya haraka ili uweze kukaa, kutembea, na kumhudumia baby wako bila stress.