Plus Size Fine
Bei: TZS 25000 kwa Piece
Plus size bra imeundwa kukupa support ya kweli bila kubana. Inabeba uzito wa matiti vizuri, inapunguza maumivu ya mgongo na mabega, na inakupa shape nzuri chini ya nguo zako. Straps zake ni imara na comfortable, hivyo unaweza kuivaa siku nzima bila usumbufu. Inakupa confidence, comfort, na freedom ya kusogea bila kujisikia heavy au kubanwa