Portable Milk Warmer

Bei: TZS 150000 kwa Piece

Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.

Portable bottle warmer ni mkombozi kwa mama on-the-go. Inahakikisha maziwa ya mtoto yanapata joto sahihi haraka bila kusubiri au kutumia maji ya moto kila mara. Ndogo, rahisi kubeba kwenye begi, na inaweza kutumika popote hata ukiwa nje ya nyumba. Inakupa peace of mind knowing baby wako anapata feed ya joto, safe na ready anytime.

Nunua kwenye Duka la Malkia