Push to Recover Kit
Bei: TZS 239000 kwa Piece
Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.
Push to Recover Kit ya Malkia Maternity imeundwa kumsaidia mama kurudi kwenye hali yake kwa haraka na kwa usalama baada ya kujifungua. Inapunguza maumivu, inasaidia kupona kwa haraka, na inalinda usafi wa mwili kipindi ambacho ni nyeti sana. Unapata faraja, confidence, na uhuru wa kuendelea na maisha bila stress za recovery.