Reusable Cold Pads

Bei: TZS 30000 kwa Piece

Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.

Postpartum reusable cold packs husaidia kupunguza maumivu, uvimbe, na discomfort baada ya kujifungua. Zinatoa baridi laini inayotuliza eneo la uke au kwenye maziwa, huku zikichangia kuharakisha nafuu. Kwa kuwa ni reusable, mama anaweza kuzitumia tena na tena bila gharama ya mara kwa mara, zikimpa comfort na urahisi kila siku za mwanzo baada ya delivery.

Nunua kwenye Duka la Malkia