Support Belt
Bei: TZS 70000 kwa Piece
Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.
Pregnancy support belt ni msaada wa kweli kwa tumbo lako kadri linavyokua. Inapunguza maumivu ya mgongo na nyonga, inabalance uzito wa tumbo ili usivute chini sana, na inakupa comfort ya kutembea, kusimama au kufanya shughuli zako bila stress. Inasaidia pia kupunguza pressure kwenye mishipa na misuli, hivyo unahisi nafuu zaidi siku nzima.