Support Belt (Premium)

Bei: TZS 100000 kwa Piece

Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.

Premium support belt inakushika tumbo kwa upole bila kubana, inapunguza maumivu ya mgongo na kiuno, na kukupa support unayotaka ukiwa unatembea au kusimama muda mrefu. Inasaidia kupunguza pressure kwenye pelvic area, hivyo unajisikia mwepesi na comfortable zaidi kila siku. Perfect kwa mama anayehitaji balance kati ya support na comfort kipindi cha ujauzito.

Nunua kwenye Duka la Malkia