U-Shape Pillow

Bei: TZS 120000 kwa Piece

Imependekezwa na wataalamu wa afya ya mama.

Pregnancy pillow -Hupunguza maumivu ya mgongo na kiuno -Hushikilia tumbo vizuri bila kulibana -Husaidia kulala ubavuni (salama zaidi kwa mama na mtoto) -Hupunguza pressure kwenye miguu na nyonga -Huongeza ubora wa usingizi (unalala deep zaidi) - Inasaidia mwili wako kuwa kwenye position sahihi bila kujigeuza geuza usiku kucha.

Nunua kwenye Duka la Malkia