Washable Breast Pads
Bei: TZS 20000 kwa Pack
Washable breast pads zinakupa ulinzi wa uhakika dhidi ya maziwa kuvuja huku zikibaki soft na gentle kwa ngozi ya chuchu. Zinanyonya vizuri, hazisababishi muwasho, na unaweza kuzitumia tena baada ya kuosha, hivyo zinaokoa gharama muda mrefu na ni rafiki kwa mazingira. Inakupa confidence ya kukaa fresh na dry siku nzima bila stress.