Wipes Warmer
Bei: TZS 75000 kwa Piece
Kubadilisha diaper hasa usiku kunaweza kumshitua mtoto anapoguswa na wipes za baridi. Malkia Wipes Warmer husaidia kuweka wipes katika joto la kupendeza, hivyo diaper changes zinakuwa comfortable zaidi kwa mtoto na rahisi kwa mama.