Wrap Belt

Bei: TZS 50000 kwa Piece

Wrap belt inakusaidia kurudisha tumbo taratibu bila presha, huku ikitoa support kwenye misuli iliyolegea baada ya kujifungua. Inapunguza maumivu ya mgongo, inaboresha posture, na inakupa confidence ya kuanza kuvaa nguo zako kawaida mapema zaidi. Pia ni rafiki sana kwa mama wa kawaida na wa upasuaji kwa sababu inashikilia eneo la tumbo kwa utulivu bila usumbufu.

Nunua kwenye Duka la Malkia