Hospital Bag ya Tanzania
Hii sio list ya Pinterest. Ni vitu ambavyo mama anavihitaji kweli hospitali za serikali na binafsi hapa kwetu, wiki ya 36 mpaka siku ya kujifungua. **Funga begi wiki ya 36.** Watoto hawaulizi kama uko tayari.
Mambo muhimu
- Vyeti, pesa na namba za simu
- Mama, mtoto na msindikizaji
- Maswali 6 ya kuuliza kliniki wiki ya 36
Imekaguliwa na Midwife Rhoda James Kallabaka, mkunga.